Mmiliki wa hit song ya ‘Utanipenda‘ Diamond Platnumz amezidi
kuziandikaheadline katika ulimwengu wa sanaa baada ya usiku wa leo
kuzinyakua tuzo mbili zaHipipo Awards zilizofanyika Uganda.
Ushindi alioupata ni Nyimbo bora Afrika Mashariki na Video bora Afrika Mashariki ambazo zote ni kupitia wimbo wa Nana.
Baada ya ushindi kupitia account yake ya Instagram Diamond aliandika maneno haya
Post a Comment