0
                                                  
                                      
" Habarini za Asubuhi. Kutokana vurugu zilizo tokea Jana Bungeni Mimi MBUNGE wenu ndie mwathirika namba moja. Niliwekwa mapumzi masaa mawili. Nimepata jeraha la mkona wa kushoto na maumivu ya mwili. Lakini leo nimeamka salama na najiandaa kuelekea kwenye mapambano. Mpaka kieleweke"

Mbunge wa jimbo la Liwale,mheshimiwa Zuberi Kuchauka  aliandika ujumbe huo leo asubuhi kwenye group la whatsapp la LIWALE NATIVE kwa kile kichotokea huko bungeni

Post a Comment

 
Top