0
Leo December 31 mtu wangu wa nguvu ukiwa unasubiria na kuomba mungu uweze kuuona mwaka 2016. Naomba nikupea count down ya chenga 8 kali za matobo zilizopigwa kwa mwaka 2015. Najua unafahamu mchezaji kupigwa tobo uwanjani huwa inakuwa noma sana au aibu flani, kutokana na wakati tukio hilo linafanyika lazima mashabiki wa mchezaji husika washangilie na kumzomea mchezaji aliyepigwa tobo. Basi hii ndio stori ya matobo 8 makali kutoka 101greatgoals.com
1- Lionel Messi alimpiga tobo James Milner wa Man City wakati ambao Pep Guardiola alikuwa jukwaani kama shabiki na kutabasamu kwa tukio la Messi.

Post a Comment

 
Top