0

Umoja wa vikundi mbalimbali Wilayani Liwale Mkoani Lindi unaofamika kama VCF (Village Communite Facilities) ulianzishwa mwaka 2013 na kuanza kazi zake rasmi mwaka 2014 kikiwa na wanachama 30 wanaume 17 na wanawake 13.
Kazi moja wapo wanazozifanya

>;Kutoa elimu ya ujasiliamali kwa vikundi na kwa wafanya biashara
>;wanajishughulisha na kilimo cha mbogamboga na miti ya matunda
>;Utengezsji wa unga wa muhogo kitalaam
>;uoteshaji wa uyoga kwa njia ya kisasa
>;utunzaji wa mazingira
>;Ubanguaji wa korosho

Mafanikio ya kikundi hiki
√ kuongeza kipato kwa wanachama wake 
√ imewawezesha wanakikundi kuweza kuweka na kukopa pesa kwenye vicoba
√ kuboresha kilimo cha mbogamboga

Changamoto
-kuvunjika moyo kwa baadhi ya wanachama

-ukosefu wa usafiri katika shughuli za uzalishaji
-uhaba wa vitendea kazi
-ukosefu wa soko la uhakika kwa bidhaa ya unga wa muhogo
-mtaji duni wa uendeshaji

WITO WAO
Taasisi na wadau viwasaidie vikundi vidogovidogo ili kuweza kuinua uchuma wa taiga
Maafisa kilimo washirikiane na vikundi katika kufikisha elimu kwa wakulima

Unaweza ukawasiliana nao
M/kiti Ahmadi Goliama
0717114006
Katibu Habibu mkename
0788701601
Mkurugenzi wa bodi
Bibi Mary
0656876275


Post a Comment

 
Top