October 2015 utakuwa mwezi wenye historia kubwa ambayo haitojirudia mpaka miaka mingine mitano ipite, hiyo ni kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya Tanzania… kinachoibeba historia hiyo ni ishu ya Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais wa awamu ya tano Tanzania.
Lakini japo Uchaguzi Mkuu
umekamilika bado kuna Majimbo ambayo uchaguzi haukufanyika kwa sababu
mbalimbali ikiwemo Wagombea wake kufariki… ninayo ripoti kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC ina orodha ya Majimbo na Kata pamoja na tarehe ya kufanyika kwa Uchaguzi huo wa Wabunge na Madiwani.
Post a Comment