Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Bw, Mahesh Patel Mwenyekiti wa Kiwanda cha Sukari cha Mahonda kiliopo
katika Wilaya ya Kaskazini B. Unguja alipofanya ziara maalum ya
kutembelea kiwanda hicho leo,ambacho Kinachofanyiwa ukarabati na Kampuni
ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka Nchini India.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika Kiwanda
cha Sukari cha Mahonda kiliopo katika Wilaya ya Kaskazini B. Unguja alipofanya ziara maalum ya kutembelea kiwanda hicho leo,ambacho kinachofanyiwa ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Bw,Afani
Othman Maalim mara alipowasili
katika Kiwanda cha Sukari cha Mahonda kiliopo katika Wilaya ya
Kaskazini B. Unguja alipofanya ziara maalum ya kutembelea kiwanda hicho
leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Kiwanda
cha Sukari cha Mahonda kiliopo katika Wilaya ya Kaskazini B. Unguja
alipofanya ziara maalum ya kutembelea kiwanda hicho leo,ambachokinachofanyiwa ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akipata maelezo wakati alipofuatana Meneja wa Kiwanda cha Sukari cha Mahonda Bw.Rajesh Kumar (wa pili kulia) kiliopo katika Wilaya ya Kaskazini B. Unguja alipofanya ziara maalum ya kutembelea kiwanda hicho leo,ambacho kinachofanyiwa ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India,(kulia ni ) Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) akiangalia hatua ya ujenzi na kupata maelezo katika Kiwanda cha Sukari cha Mahonda kiliopo katika Wilaya ya Kaskazini B. Unguja alipofanya ziara maalum ya kutembelea kiwanda hicho leo,ambacho kinachofanyiwa ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India,
Hili
ni jengo la Kiwanda cha Sukari cha Mahonda ambalo linamitambo mbali
mbali ambayo inafanyiwa ukarabati wa hali ya juu na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India,na baadae mitambo hiyo iweze kuzalisha Sukari itakayouzwa ndani na Nje ya Nchi,Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Sheinleo alitembelea na kuona hali ya ukarabati huo akiwa katika ziara
maalum
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) akipata maelezo wakati alipofuatana Meneja wa Kiwanda
cha Sukari cha Mahonda Bw.Rajesh Kumar (katikati) alipotembelea kiwanda hicho leo,ambacho kinachofanyiwa
ukarabati naKampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini
India,kiliopo katika Wilaya ya Kaskazini B. Unguja,(kulia) Meneja mradi
Tushar MEHTA
Baadhi ya Mashine katika kiwanda cha Sukari cha Mahonda Wilaya ya Kaskazini B. Unguja,ambacho kinachofanyiwa ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India,Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiambatana na Viongozi mbali mbali wa Serikali alitembelea kiwanda
hicho leo(Picha na Ikulu )
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.