0



 Jarida la Forbes wameitambulisha hii list leo November 04 2015, na unaambiwa majina haya 10 ndio yameonekana kuwa na nguvu kubwa zaidi ya kukubalika Duniani.
Kabla ya kuitambulisha list, Forbes walifanya kazi ya kutafiti vitu vingi sana ikiwemo kuangalia mtu huyo ni kiongozi wa watu wengi kiasi gani, utajiri wake, anakubalika kiasi gani na anatuamiaje nafasi aliyonayo?
Hapa ni majina kuanzia wa kwanza mpaka wa mwisho mtu wangu.
Vladimir Putin — Rais wa Russia


Angela Merkel – Chancellor wa Ujerumani 


Barack Obama — Rais wa Marekani 


Pope Francis – Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani 


Xi Jinping – Rais wa China 


Bill Gates — Boss wa Kampuni ya Microsoft 


Janet Yellen – Mtaalam wa masuala ya Uchumi Marekani 


David Cameron —Waziri Mkuu wa Uingereza 


Narendra Modi – Waziri Mkuu wa India 


Larry Page – Boss wa Kampuni ya Google

Post a Comment

 
Top