
Katibu
mkuu kiongozi Ombeni Sefue amesema rais.John Pombe Magufuli amefuta
maadhimisho ya siku ya Uhuru December 9 na kuagiza fedha zilizopangwa
kwa shughuli hiyo zitengwe kwaajili ya kufanyia shughuli nyingine na pia
akaagiza siku hiyo kutumika kwaajili kufanya usafi nchi nzima kwaajili
ya kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu.
Post a Comment