Inawezekana
ikawa ndiyo mechi ya mchezo wa ngumi inayosubiriwa kwa hamu kubwa.
Mwingereza Tyson
Fury anayekutana na kigogo kutoka Ukrain, Wladimir Klitschko.
Pambano hilo
linapigwa leo kuanzia saa 3, saa za Afrika Mashariki yatakapoanza mapambano ya
utanguliza pale Dussedolf nchini Ujerumani.
Pamoja hilo
limekuwa na kelele nyingi huku Furry ambaye hajawahi kupigwa akiahidi kufanya
yake na kuudondosha mbuyu huo.
Ataweza, ni suala la subira tu na mwisho kusubiri mambo ulingoni.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.