Kenya
nayo imeshindwa kufuzu katika hatua ya makundi kuwania kucheza Kombe la
Dunia baada ya kufungwa kwa mabao 2-0 na Cape Verde ikiwa mjini Praia.
Kipigo
hicho kinaifanya Kenya kuondoka kwa jumla ya mabao 2-1 kwa kuwa
ilishinda kwa bao 1-0 mjini Nairobi katika mchezo wa kwanza.
Post a Comment