0
fa
Michuano mikongwe barani Ulaya ya kombe la FA sasa imefikisha miaka yake 144 tangu kuanzishwa kwake.
Habari mpya kutoka ndani ya bodi ya kombe la hilo la FA ni kwamba kwa sasa limebadilishwa jina kutoka FA Cup na sasa litakuwa likijulikana kama Emirates FA Cup kufuatia mkataba mnono wa pauni milioni 30.
Bodi hiyo imeingia mkataba  na kampuni ya Emirates Airlines kwa miaka mitatu na bodi ya FA na kesho inatarajia kutoa taarifa rasmi.

Post a Comment

 
Top