0
Mambo ya burudani katika kituo cha michezo kilichojengwa na FIFA mkoani ringa na kufunguliwa tarehe 13/10/2013

Chuo cha uandishi wa habari cha Dar es salaam school of journalism (DSJ) imeibbuka na ushindi wa bao 4 kwa 1 zidi ya Nuru fm mchezo huu ulikuwa ni wa kirafiki ambao uliochezwa kwenye kiwanja cha fifa kiliopo mkoani Iringa.
Katika Kipindi cha kwanza timu ya DSJ ilikuwa inaongoza kwa bao 3 kwa 1 baadhi ya wachezaji wa timu ya Nuru fm ni fadhili Ali,nelly hawa ni baadhi tu ya watangazaji wa Nuru fm.  
Wachezaji wa timu ya DSJ alikuwa Kanjopa,rama,stella,Rebeka na wengine huku Stella akikosa goli la wazi baada ya kupewa pasi safi aliposhindwa kuweka mpira nyavuni.

Post a Comment

 
Top