0
 Vijana zaidi ya 360 wa kutoka wilaya sita za mkoa wa Lindi wakiwa kwenye  mafunzo ya ujasiriamali yaliyofanyika ukumbi wa kagwa katika manispaa ya Lindi.

 Waziri wa mambo ya ndani na Mbunge wa jimbo la Nachingwea mkoani Lindi  Mathew Chikawe akimkabidhi  bi Olomi cheti cha ushiriki mafunzo ya ujasiriamali yaliyofanyika kwa muda wa siku tano katika ukumbi wa Kangwa manispaa ya Lindi  na kuhudhuriwa na vijana zaidi ya 360 kutoka wilaya za LIWALE, RUANGWA, NACHINGWEA, KILWA, LINDI , NA LINDI MANISPAA.
Mkuu wa mkoa wa  Lindi  bi Mwatumu Mahiza (wakulia ayeshika maiki) wakisalimiana na meneja wa bima ya afya mkoa wa Lindi Fortunata Kulaya baada ya kupata cheti cha kuthibitisha ushiriki wa mfuko huo kuchangia mafunzo ya vijna wajasirimali 360 kutoka halmashauri sita za mkoa wa Lindi mafunzo yaliyoandaliwa na ofisi ya mkuu wa mkoa wa Lindi.

Post a Comment

 
Top