Kipindi
cha pili dakika ya 57 Neymar aliwapa bao la pili Brazil kwa kufanya 2-1
dhidi ya France. Luiz Gustavo aliiongezea bao tena la tatu na kufanya
3-1 dakika 69 kipindi cha pili baada ya kupigwa kona na hatimae Gustavo
kutupia kwa kichwa kambani.France
walipata bao lao kupitia kwa Raphaƫl Varane dakika ya 21 nao Brazil
walisawazisha bao kupitia kwa Oscar dakika ya 40 na kwenda mapumziko
bao 1-1.
Post a Comment