Maeneo karibu na Ocean Road, vijana maarufu kwa ukwapuaji wa simu za
mkononi wakiwa kwenye pikipiki walimkwapulia dada mmoja simu. tukio hilo lilitokea jana jioni na
lilionwa na mtu aliyekuwa kwenye gari ndipo alipoanza kuwafukuzia na
kuwazidi maarifa. Vijana hao walikamatwa na pikipiki yao kuchomwa kama
picha zinavyooneshwa hapa chini






Post a Comment