Kwa mujibu wa gazeti la The Standard
la nchini Zimbabwe walinzi 27 wanaomlinda Rais Robert Mugabe
wamesimimishwa kazi kwa kudaiwa hawakuwa wamejipanga baada ya rais huyo
mzee kuanguka.
Kwa mujibu
wa vyanzo, walinzi hao walipewa barua za kusimamishwa kazi Ijumaa
iliyopita. Kuna ripoti pia kuwa baadhi ya maofisa wanaweza kufukuzwa
kazi.
Sura mpya za walinzi wake zilionekana Ijumaa wakati Mugabe alipokutana na rais mpya wa Zambia Edgar Lungu mjini Harare.
Uchunguzi mkali unaendelea kufuatia tukio hilo lililomuabisha Mugabe.
Sura mpya za walinzi wake zilionekana Ijumaa wakati Mugabe alipokutana na rais mpya wa Zambia Edgar Lungu mjini Harare.
Uchunguzi mkali unaendelea kufuatia tukio hilo lililomuabisha Mugabe.
Post a Comment