Kocha
wa Chelsea Jose Mourinho amesema kwamba haoni uongozi wa alama 7 juu ya
jedwali la ligi ya Uingereza ni fursa ya timu hiyo kushinda ligi hiyo
mwaka huu.
The Blues iliishinda Aston Villa 2-1 siku ya jumamosi
huku Manchester City Inayoshikilia nafasi ya pili katika jedwali hilo
ikiangukia sare ya 1-1 dhidi ya Hull City.
James Milner alifunga
bao la Mancity lakini hakuisaidia timu yake kupunguza pengo lililopo
kati yake na Chelsea katika uongozi wa Ligi.
Manchester city
Hull City ilikuwa ya kwanza kufunga bao kupitia mchezaji David Meyler.
Everton na Liverpool nazo zilitoka sare ya 0-0 katika Merseyside Derby iliochezwa katika uwanja wa Goodison Park
Haya hapa baadhi ya matokeo ya mechi zilizochezwa jumamosi.
liverpool
Tottenham 2 - 1 Arsenal Aston Villa 1 - 2 Chelsea Leicester 0 - 1 Crystal Palace Man City 1 - 1 Hull QPR 0 - 1 Southampton Swansea 1 - 1 Sunderland Everton 0 - 0 Liverpool
Post a Comment