0
 Msafara wa mbunge wa jimbo la Liwale kupita chama cha CCM mheshimiwa Faith Mitambo ajionenea mwenyewe hali ya barabara katika kijiji cha Mbaya kata ya Mbaya alipokuwa akielekea kata ya Mkutano kuonana na wananchi leo.
Msafara wa mbunge akiwa amenasa katika kijiji cha Mbaya kata ya mbaya maeneo ya shule ya sekondari Nicodemus Banduka kunasa kutokana na mkandarasi wa barabara hiyo kumwaga kifusi katikati ya barabara inalazimika magari kupita pembeni mwa barabara.

Post a Comment

 
Top