0


Picha juu na chini zikimuonyesha Rais Joseph Kabila akiwa katika safari ya kutembelea vijiji mbalimbali nchini mwake. Hali kama hii ni ishara tosha hata kwa sisi watanzania ambao maisha yetu hayatofautiani  na wakongo tuone ni vema sasa tukawa na viongozi vijana ambao watakuwa na ujasiri kama wa kiongozi huyu kijana, kwa ishara hii ni dhahiri ata viongozi wanaomzunguka watalazimika kuwa kama yeye katika ujasiri wa kulitetea taifa lao.
By Utukufu Kyando

Post a Comment

 
Top