0
Askali polisi wakiwa wanapakia miili ya majambazi wawili kwenye gari baada ya kurushiana risasa na kubatika kuwauwa,majambazi hao walikuwa wakifanya jaribio la kupora pesa kwenye duka la m-pesa,tigo pesa na airtel money mtaa wa mkunguni kariakoo jijini Dar es salaam usiku huu.
      huu ni umati wa watu uliokusanyika katika eneo la tukio bofya HAPA

Post a Comment

 
Top