Lori
kubwa aina ya Scania limesababisha ajali baada ya kukatiza barabara
ghafla na kuigonga daladala aina ya DCM yenye maba za usajiri T797 BED
lenye kufanya safari zake kati ya G/LAMBOTO to UBUNGO.
Namna gari la abilia lilivyo alibiwa na gari kubwa la mizigo aina ya scania

Damu ambazo ni kwa wale abilia walio jeruhiwa katika ajali hiyo.
Gari hili likiwa limepasuka vioo vyote na kuumia kwa mbele ya mbele.
Wasamalia wema wakijaribu kutoa msaada wa kuwaokoa majeruhi.
Baadhi ya majeruhi wakiwa wametapakaza damu katika maeneo haya ya ajali
Viti vya daladala vikiwa vimeng'oka na kusambaa nje ya maeneo ya barabarani
Katika ajali hiyo hakuna abiria ayepoteza maisha isipokuwa baadhi ya abiria wamejeruhiwa tu.
Ajali hii
imetokea mda huu maeneo ya Tabata Matumbi. Asante na endelea kutembelea
Mutalemwa Blog kwa habari moto moto ndani na nje ya mipaka ya tanzania.










Post a Comment