Huko
Mjini Mombasa nchini Kenya, Watu wanne waliuawa jana Usiku na mamia ya
wengine kujeruhiwa baada ya Vijana wanaoaminika kuwa wafuasi wa makundi
ya kigaidi kuwashambulia kiholela wapita njia katika mtaa wa Kisauni
Kaskazini mwa mji wa kisiwa hicho. Yaaminika vurugu hilo ilikuwa hatua
ya Vijana hao katika kujibu uvamizi wa misikiti miwili Mjini Mombasa,
uliotekelezwa jana alfajiri na na maafisa wa vyombo vya Usalama.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Post a Comment