Ujenzi wa nyumba ya mganga iliyojengwa katika kijiji cha Nangano wilayani Liwale
Mwonekano wa nyumba
Nyumba ya mganga zahanati ya kijiji cha Nangano ikiwa imekamilika ni juhudi ya serikali na ushirikiano wa wananchi pamoja na viongozi wa ngazi ya kijiji na wilayani kukamilika kwa ujenzi huu itakuwa na tija kubwa katika upatikanaji wa huduma bora na za haraka za afya.




Post a Comment