0
Taswira ya kivuko cha MV Dar es salaam kinachoonekana juu ya Meli kabla hakijashushwa majini kichoingia leo asubuhi katika Bandari ya Dar es salaam.

 Baadhi ya viongozi wahudhuria katika kukipokea kivuko cha MV Dar es salaam kama mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki aliyekaa upande wa kushoto
Waziri wa ujenzi Dkt.John Magufuli akiwa ndani ya chumba cha Nahodha wa kivuko hiko cha MV Dar es salaam akiwa na anaangalia mwonekano mpya wa kivuko hicho.
 Waziri wa ujenzi Dkt.John Magufuli akiwa anashuka kwenye ngazi mara tu baada ya kukamilika kwa ukaguzi huo kwenye kivuko kilichowasili leo.
Picha zote kwa hisani ya kitengo cha mawasiliano Serikalini (GCU) Wizara ya Ujenzi.

Post a Comment

 
Top