0
         (Kwa upande wa kushoto ni Donald Mtai na wakulia ni Alphonce Ngaila)

WAGOMBEA WA URAIS NA  UMAKAMO KATIKA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA DSJ KILICHOPO ILALA ZIMEZINDULIWA HII LEO NA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI YA DSJ NA UCHAZI UTAFANYIKA TAR 31/10/2014

Wagombea hao wakiwa wanajinadi wamewahaidi wanafunzi kama watapewa ridhaa ya kuchaguliwa watabolesha mambo yote ambayo yalikuwa hayajatekerezeka kwa uongozi uliopita au uliomaliza muda wake.
 Pia watawapatia wanafunzi huduma ya interneti ya bei nafuu  kutoka kwenye makampuni ambayo watakubaliana nayo huo ubia.

                                 mwenyekiti wa tume ya uchaguzi akifungua kampeni
                       mgombea urais bwana Donald Mtani akimwaga sera zake kwa wanafunzi
makamo nae akijinadi kuomba ridhaa ya kuomba kura kwa wanafunzi



                                                 baadhi ya wanafunzi wakiuliza maswali
                                   baadhi ya wanafunzi yakiuliza maswali kwa wagombea

                                              KAULI MBIU YAO "DSJ TOGETHER AS ONE"

Post a Comment

 
Top