0

Jana lilianza Ligi Ya Kugombea Mbuzi inayojulika Kama Bundala Cup,lengo ni Kumkumbuka ya mwanafunzi mwezao Marehemu Bundala .

Mechi Ya jana ilikuwa kati ya kidato cha  VI Vs kidato cha III ,Ambapo kidato cha III Walishinda kwa kuwalaza kaka zao kwa kichapo cha bao 1~0 mchezo uliochezwa katika viwanja vya shuleni kwao.

Mchezo wa leo utakuwa ni wa mvuto wa kukata na shoka ambapo itakuwa kati ya kidato cha V Vs IV

Post a Comment

 
Top