0
Moto mkubwa wateketeza kiwanda Singida.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia kutaoka mkoani Singida zinasema kwamba kiwanda cha kutengenezea mafuta halizeti kinaendelea kuteketea kwa moto.

Taarifa za awali zinadai kuwa moto huo ulianza kuwaka jana usiku mnamo majira ya saa tano na hadi asubuhi ya eleo moto huo unaendelea kuwaka licha ya kuwepo juhudi za uzimaji wa moto zinazofanywa na mamlaka husika wakisaidiana na raia wa karibu na eneo hilo.

Mtoa taarifa wetu anasema kutokana na hali ya uwakaji wa kasi kwa moto ndani ya kiwanda hicho niwazi kabisa kwamba umeteketeza kila kitu.

Hadi sasa bado haijafahamika ni kipi chanzo cha moto huo,........... tunaendelea kufatilia ili tuweze kuwapa habari kwa kina.

Post a Comment

 
Top