Bus la timu ya Young
Africans lililokuwa limebeba wachezaji pamoja na viongozi wa benchi la
ufundi limepata ajali eneo na Mikese Mizani baada ya Mabus yaliyokua
yakitanua kuelekea mikoa ya bara kuziba njia na kusababisha kutumbukia
kwenye mtaro.
Katika ajali hiyo iliyotokea majira ya saa tatu na nusu asubuhi
hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa na kwa sasa timu inaondoka na usafiri wa
bus jingine kuelekea jijini Dar es salaam

Post a Comment