0




 Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV bwn. Iddi Sandaly akiutambulisha uongozi mzima wa jumuiya kwa Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia Mhe. Jamuary Makamba ambaye Jumapili Dece 8, 2013 aliongea na WanaDMV kwa maswali na majibu kwenye ukumbi wa Mirage. AUDIO ya maswali na majibu tutawawekea baadae.
 Mhe. January Makamba akipata vitafunwa kabla ya kuanza mazungumuzo yake na wanaDMV.
Mhe. January Makamba akiwasalimia wanDMV na kuaambia leo sio siku ya hotuba napendelea tuanze kuulizana maswali kuhusu mstakabali mzima wa nchi yetu kama mnajambo mnataka kulifahamu au mnaushauri mnataka kutoa nipo kwa ajili hiyo.
Mhe. January Makamba akijibu moja ya maswali yaliyoulizwa.
 
Ramona Makamba, mke wa Mhe. January Makamba akipata picha ya kumbukumbu


Juu na chini wanaDMV wakifuatilia maswali na majibu kutoka kwa mhe. January Makamba (hayupo pichani.
Picha ya pamoja.
htt://www.magangaone.blogspot.com

Post a Comment

 
Top