Mahakama
kuu Ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo tarehe 10/10/2016 imetoa
ushindi kwa Chama cha Wananchi (CUF) kwa kutoa kibali cha kisheria kwa
chama kuwasilisha ndani ya siku 14, kesi ya kuiomba mahakama kutengua
maamuzi batili ya Msajili wa vyama vya Siasa nchini, kwani maamuzi hayo
batili yametengua maamuzi halali ya vikao halali vya chama. Mawakili wa
CUF wakiongozwa na Mhe. Juma Nassor, Mhe. Daimu na Mhe. Hashim Mziray
wamewaahidi wanachama wa CUF nchi nzima
kwamba wataifungua kesi husika ndani ya wiki hii. Kwa kawaida, uamuzi wa
leo wa Jaji Munisi huweza kufanywa upande mmoja (EXPARTE) kama
ilivyofanyika.
#MyTake:
Hili ni pigo la kwanza kwa Lipumba na kibaraka wake Mtungi. Kitendo cha Mahakama kuruhusu suala hili kujadiliwa mahakamani ni dalili za haki kutendeka. Baada ya CUF kuwasilisha ushahidi wake ndani yasiku 14 kama ilivyoelezwa, na ikiwa Mahakama itakubaliana na hoja za CUF kuwa Lipumba si Mwenyekiti wa Chama hicho, sijui Mtungi ataficha wapi sura yake. #Shame.! Wakati huohuo:
PROF Lipumba Agonga Mwamba..Sakata la Kufungua Account Mpya ya Bank PROFESA Ibrahim Lipumba amegxonga mwamba. Juhudi zake za kufungua akaunti ya benki, tofauti na iliyo halali na inayotumika, zimekwama, anaandika Shabani Matutu.
Prof. Lipumba anadaiwa kutaka kufungua akaunti yake katika Tawi la Ilala la National Microfinance Bank (NMB) jijini Dar es Salaam.
Prof. Lipumba ambaye kwa miezi miwili sasa amekuwa akinyukana na uongozi halali wa Chama cha Wananchi (CUF).

Post a Comment