# HABARIZAHIVIPUNDE :Mtu mmoja amefariki na wengine zaidi ya 60 kunusurika kifo katika ajali ya basi la Allys Sports iliyotokea katika eneo la mji mdogo wa maganzo nje kidogo ya mji wa Shinyanga barabara ya kwenda Mwanza.
Kwa mujibu wa mashuhuda wamesema mwendo wa gari ulikuwa si mzuri.
Post a Comment